MAHUSIANO



MAMBO YA KUFANYA BAADA YA KUVUNJA MAHUSIANO ILI KUPONYA MOYO ULIOJERUHIWA  ~Musa Kisoma

Nimeona wengi wakipoteza mwelekeo wa maisha, wakipoteza imani, wakiugua magonjwa ya moyo, wengine wamepata uchizi kabisa, nakumbuka mpenzi wangu wa kwanza alizimia siku tatu nilifikir angekufa lakini kwa sababu nilimuacha kwa faida yake mwenyewe nikakaza msimamo lakini ili tuponye nafsi zetu na kuwasaidia rafiki zetu, basi chukua hii

1.     Badili hisia zako kwa kubadili fikra zako. Amani kwamba unaweza kuzishinda hisia mbaya za huzuni, upweke, kukataliwa, hasira, uchungu, kujihukumu na wivu. Lazima utambue kwamba wakati mwingine Mungu huruhusu mambo yanayotesa moyo ili tubadili fikra zetu na mitazamo.

2.     Tambua kwamba Mungu Ndiye mfariji wa kweli. Wanawake wengi hujilazimisha au kujirahisisha kwa wanaume wengine ambao badala ya kuwafariji baadaye huja kuwaumiza zaidi ya mara ya kwanza. Wanaume wengi hutafuta vileo. Mtazame Mungu, mpe nafasi ya mpenz wako aliyekuacha.

3.     Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mapya. Hakikisha umepona moyo na kwamba una uhakika wa maamuzi ya kuanza upya mahusiano.

4.     Punguza muda wa kumfikiria ex wako, muda wa kumfikiria fikiri mambo yako ya kazi au mtafakari Mungu.

5.     Usikubali kuteswa na majuto kwa kujihisi huna sifa za kuwa na mtu mzuri. Msamehe ex wako na wewe muombe msamaha, ganga yajayo huku ukimtegemea Mungu. Kuwa makini wanaume wengi wanapenda kujisogeza kwa ex wao wanapata sex then wanakimbia, wanatake advantage ya maumivu yako au kama anajua bado unampenda na una matumaini kwamba mtarudiana.

6.     Endapo mliwahi kuachana na kurudiana then mkaachana tena, kurudiana kwa mara ya pili sio jambo jema, ni ishara kwamba mnaforce mapenzi au bado mna utoto wa hisia na akili.


7.     Usikate tamaa, bado Mungu amekuandalia wa kukufaa, utatoka utukufu hadi utukufu. Yaani utampata mwenye sifa nzuri nyingi zaidi ya ex wako.
8.     Usiombe ushauri kwa kila mtu, usiweke hisia zako wazi instagram na Facebook, utaalika wafariji feki waje wakuongezee maumivu.
9.     Kwa leo tuishie hapa, maelezo kwa kina utayapata kwenye kitabu changu mwezi wa



KWA MASWALI YAHUSUYO MAHUSIANO 0753469525



**********************************************************


KUJUA KUSUDI LAKO ILI UJENGE MAHUSIANO MAZURI
by adabert chenche 

Kusudi la kitu hutegemea ASILI, MUUNDO na USANIFU. Mungu amefanya kila kitu kwa kusudi lake. Mwanamke ameumbwa kama alivyo kwa kusudi, vilele vile kwa mwanamume.
Katika mambo muhimu sana ambayo Mungu Baba anapenda tuyajue vizuri ni mahusiano, katika mahusiano ndio mambo mema hutokea. Kama hujajua kusudi lako usiombe mke au mme.

KAMA BADO HAUJAJUA KUSUDI LAKO, USIOMBE MKE AU MME, OMBA KWANZA KUJUA KUSUDI LAKO, KISHA OMBA MKE.

Ukijua kusudi la maisha yako ni wazi kuwa hata mke au mme utakayempata atapatikana kutokana na kusudi lako. Si rahisi sana atoke nje ya kusudi lako, maana Mungu atamtayarisha kulingana na kusudi lako na si vinginevyo.
Kama kusudi halijulikani uharibifu haukwepeki.Pasipo na kusudi ni nyumba ya uharibifu.

NINI MAANA YA MAHUSIANO?
Mahusiano ni hali ya kuwa na ukaribu, ushirikiano, umoja, uhusiano, au ushirika na ufungamano katika hali na mazingira fulani ya kimaisha, yanaweza kuwa ya kikazi, kiurafiki, kijamii, kielimu na kindugu.
AINA ZA MAHUSIANO
Kuna aina nyingi za mahusiano katika makundi yake kama ifuatavyo:
1.     MAHUSIANO KATI YA MTU NA MUNGU. (Upendo wa Agape)
2.     MAHUSIANO KATI YA MTU NA MTU, Wakristo (Upendo wa Filia)
3.     MAHUSIANO KATI YA DADA NA KAKA, Kuelekea ndoa.(Upendo wa Eros)

MAHUSIANO YA DADA NA KAKA
Mahusiano katika eneo hili ni mahusiano ya kimapenzi (UPENDO),  ni ule ukaribu, upendo, ushirika, umoja, ufungamano uliopo kati ya kijana wa kiume na wa kike au msichana na mvulana yanayopelekea kuwa na ndoa.

Mfano: Wa viganja visivyoachana kabisa. Mahusiano mengine yanaweza yakaachana lakini MAHUSIANO YA MUNGU na MWANADAMU SI YA KUACHANA, na yale ya KAKA NA DADA KUELEKEA NDOA, WAKIFUNGA NDOA SI VEMA KUACHANA.

MASWALI 10 MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUINGIA KATIKA MAHUSIIANO

  1.   Kwa nini unataka kuingia kwenye mahusiano (kuoa au kuolewa?)
  2.     Je? Unataka kuoa au kuolewa ili uwe mke au mme kabisa?
  3.   Nini malengo yako katika ndoa?
  4.      Je? Uko tayari kuwajibika kama mke au mme?
  5.     Je? Uko tayari kushirikiana na mwenzako katika hali yoyote ile hadi kifo?
  6.  Je? Uko tayari kuelewa na kukubali ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa?
  7.  Je? Uko tayari kudumisha ndoa yako hata kama hamkujaliwa watoto?
  8. Je? Uko tayari kutambua ndoa ndio msingi wa mafanikio yako?
  9.  Je? Uko tayari kuuacha ujana na kuwa mwanandoa?
  10.     Je ? Uko tayari kuwakubali ndugu wa upande zote wawe ndugu zako wa karibu?

Ukimaliza kujiuliza maswali hayo fuata mambo ni muhimu ujue wito wako, kama wito wako ni ndoa fuata yafuatayo:

JINSI YA KUMPATA MWENZI MWEMA

1.     KUDUMU KATIKA MAOMBI ILI KUJENGA UHUSIANO IMARA NA MUNGU.
Ukiwa na uhusiano imara na Mungu, utawasiliana naye kupitia sala na maombi ili akupe mchumba mwema, ukiwa na mahusiano na MUNGU utajua hata sauti yake. Utajua tabia zake, kuja kwake na kujibu kwake.

[Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.]                                                                                                                     Mithali 19:14

Mchumba anaweza kupatikana katika mazingira ya:

ü UFUNUO (Mwanzo 24:14)
ü KIPAWA CHA AKILI, Kutumia akili bila kukurupuka. (Kumbukumbu 32:28-29)
ü AMANI INAYOAMUA NDANI (Wakolosai3:15)
Mithali 19:14
Mambo ya Lazima ya Kuangalia  kwa Unayemtarajia Kuwa Mchumba.
i.                   Imani
ii.                 Tabia
iii.              Uaminifu
iv.               Unyenyekevu (Utumishi)
v.                  Haki
vi.               Kiasi au Nidhamu
vii.             Upendo

MISINGI YA KUSIMAMIA ILI KUJENGA MAHUSIANO BORA

1.     JENGA MAHUSIANO YAKO JUU YA MWAMBA.

Upendo ukijengwa juu ya mwamba hakuna kitu au jambo la kubomoa. Jenga mahusiano yako juu ya mwamba. Jenga mahusiano yako kwa maombi. Omba ili Bwana akusaidie kumpata na baada ya kumpata jenga msingi juu ya maombi.

Kwa mfano: fikiri mwanamume anampata msichana kwa njia ya maombi, hebu fikiri kidogo unaonaje?


 [Mfano wake ni mtu ajengaye nyumba, na kuchimba chini sana, na kuweka msingi juu ya mwamba; na kulipokuja gharika, mto uliishukia nyumba ile kwa nguvu, usiweze kuitikisa; kwa kuwa imejengwa vizuri]              

Luka 6:48
2.     KUISHI UCHUMBA MTAKATIFU.
Kuishi uchumba mtakatifu ni wakati ambao Bwana anawafanyia ubikira mpya. (NEW VIRGINITY) Hii ni kutokana na mahusiano yoyote yale yaliyovunja Moyo wako. Vijana wengi wameingilia mapenzi na yameishia kuwaumiza na kuwavunja moyo kabisa.Mapenzi yana wakati wake ambao ukifika hakika yanatendeka vema. 

[Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.]
Mhubiri 3:1
[Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.] Mfano: Paa ni mnyama anayeweza kukimbia km 96 kwa saa.
Wimbo Ulio Bora 2:7

3.     KUDUMU KATIKA KARAMA NA VIPAWA
Kudumu katika kusudi la Mungu hukupa wewe nafasi adhimu ya kumpata mtu wa namna yako. Unapozidi kumtumikia Mungu na kuzidi sana atakupa yule mtakayesaidiana naye katika huduma. Hii ndio kufanana. Kufanana  katika kutenda kazi ya Mungu na si vinginevyo.

 [Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.]
Mwanzo 2:18


Maoni 6 :

  1. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  2. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    *penda uchawi
    * kama unataka ex wako nyuma
    * Acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa ulinzi
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    JibuFuta
  3. Mume wangu amerudi!!! Baada ya miaka 1 ya ndoa iliyovunjika, mume wangu aliniacha na watoto wawili na maisha yangu yalivunjika. Nilitaka kuyamaliza, nusura nijiue maana alituacha bila chochote. Nimekuwa nimevunjika kihisia wakati huu wote na maisha yanaonekana kutokuwa na maana. Siku moja mwaminifu, nilipokuwa nikivinjari mtandao, nilikutana na baadhi ya shuhuda kuhusu Dk DAWN. Baadhi ya watu walishuhudia kwamba alimrudisha mpenzi wao wa zamani, wengine walishuhudia kwamba anarejesha tumbo na kuponya magonjwa kwa mimea. Nilipendezwa zaidi na upatanisho na mume wangu, ambao Dk. DAWN aliwezesha kumrudisha mume wangu ndani ya siku 3. Sasa mume wangu amerudi na tumekuwa tukiishi kwa furaha tangu wakati huo. Shukrani zote kwa Dk DAWN. Hapa, ninaacha mawasiliano yake kwa kila mtu. Maana kuna changamoto za aina yoyote,
    Barua pepe ( dawnacuna314@gmail.com )
    Whatsapp: +2349046229159

    JibuFuta
  4. Habari zenu. Ilikuwa ngumu sana kwangu wakati mpenzi wangu aliniacha kwa mwanamke mwingine. Niliharibiwa kihisia, nilivunjika moyo na sikujua la kufanya ili kumrudisha. Nilihangaika kwa miezi mingi na niliendelea kutafuta msaada kutoka kila mahali hadi nilipopata kujua kuhusu DR DAWN. Niliwasiliana naye na kumweleza shida zangu. Alikuwa tayari kunisaidia na kunisisitiza nifuate taratibu ili aweze kurejesha penzi kati yangu na mtu wangu na pia kuhakikisha tunarudiana wote wawili. Nilipata mahitaji yote na ilifanya kazi hiyo. Baada ya saa 48, nilipata ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu akiniuliza tarehe. Sasa tuko pamoja tena na shukrani zote kwa DR DAWN. Anaweza kukusaidia kumrudisha mpenzi wako,
    Anaweza kukusaidia na uchawi wa ujauzito,

    Anaweza kukusaidia kuponya aina yoyote ya ugonjwa.

    ikiwa uko tayari kuamini na kubaki na matumaini. Watumie barua pepe tu kupitia: dawnacuna314@gmail.com
    WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta
  5. Baada ya kuona chapisho kwenye mtandao la Jenna kutoka USA akisema jinsi alivyosaidiwa na Dk. DAWN, niliamua pia kuwasiliana naye kwa msaada kwa sababu sikuwa na chaguo nilichotaka ni kumrudisha mpenzi wangu na furaha. Kwa mshangao mkubwa mpenzi wangu alifika nyumbani akiwa amepiga magoti kwamba nitafute nafasi moyoni mwangu kumsamehe, hakika nilistaajabu na kushtuka mpenzi wangu alipopiga magoti akiomba msamaha na mimi nimkubalie tena. Kweli nimepungukiwa na maneno, na sijui ni kiasi gani cha kukushukuru wewe Dr. DAWN. Wewe ni Mungu aliyetumwa kurejesha uhusiano uliovunjika, Na sasa mimi ni mwanamke mwenye furaha. mawasiliano yake ni Whatsapp +2349046229159
    dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta
  6. Nilikuwa na uzoefu mgumu na wa kutisha katika mahusiano yangu ya awali na nilisubiri sana hadi nilipokutana na mume wangu na baada ya kukutana, tulipendana na kuoana. Baada ya miaka miwili ya muungano, alibadilika na kuanza tabia za ajabu na hatimaye kuniacha mimi na mtoto wetu. Nilifanya kila niwezalo kumrudisha lakini yote yalikuwa bure. Nilipata maoni mengi na kila mtu alikuwa akisema juu ya Dk Dawn. Niliwasiliana naye na alinijibu na kunipa juhudi zake zote na msaada ili kuifanya ndoa yangu ifanye kazi tena. Yeye ndiye aliyenijulisha kuwa mume wangu alichukuliwa kutoka kwangu na mwanamke mwingine na akafanya uchawi wa kuungana tena ambao uliturudisha pamoja na kurudi nyumbani kwangu na kijana wangu. Hakika, hakuna mtu huko alidanganya kuhusu Dk Dawn na matendo yake mema. Mume wangu alirudi nyumbani saa 73 baada ya kufanya kazi kama alivyoahidi. Wasiliana naye sasa na uwe na uhakika kwamba atakusaidia kuunganisha tena ndoa/uhusiano wako.
    Atakusaidia kushinda kesi mahakamani au kulipiza kisasi dhidi ya adui zako.
    Atakusaidia kuponya ugumba na kila aina ya magonjwa/magonjwa.
    Ana suluhisho la shida yako.
    Wasiliana na Whatsapp yake: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta