MATOKEO YA KIDATO CHA SITA
YATOKA
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya
kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi
bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa
website yao na ya TAMISEMI,Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.
Shule 10 zilizofanya vizuri:
1.Kisimiri,
2.Feza Boys,
3.Alliance Girls,
4. Feza Girls,
5. Marian Boys,
6.Tabora Boys,
7.Kibaha,
8.Mzumbe
9.Ilboru,
10. Tandahimba
Tembelea Tovuti ya Necta kupata Taarifa zaidi
Kupata Matokeo kwa njia ya simu fuata utaratibu huu
Tuma kwenda namba 15311
Jinsi ya kutuma ujumbe:
1.
Kupata Matokeo:
Andika:
matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year
Mfano :
matokeo*S1665*0041*k4*2014
matokeo*M0110*0003*qt*2014
2.
Kupata Rank:
Andika: rank*centre number*exam type*exam
year
Mfano : rank* S0101*k4*2014
Gharama kwa SMS ni Tshs 200/=
Huduma hii ni kwa watumiaji wa mitandao ya Tigo,Vodacom na
Zantel tu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni